Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Undertaker aliingia kwa mara ya kwanza ulingoni kwenye (WCCW)World Class Championship Wrestling)akitumia jina la Texas Red, ila alipoteza mechi hiyo alipopambana na Bruiser Brody.hatimaye mwaka 1988 baada ya miaka minne ya Promotion,Alitoka huko na kujiunga na Coninental Wrestling Association,ambapo alikuja kuwa sehemu ya United Wrestling.