Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akaja kuwa na mahusiano ya kimapenzi nakuungana na mchezaji wa mieleka wa zamani Michelle Mc cool



UNDERTAKER AKIFUNGA NDOA NA MKE WAKE WA TATU MICHELLE MC COOL
na hatimaye wakafunga ndoa 26 june 2010 katika mji wa Houstin Texas huko nchini marekani.Hata hivyo 29 august 2012 wawili hao wakabahatika kupata mtoto wa kike,na kumpatia jina Kaia Faith Calaway.
 
Na hivyo kutimiza idadi ya watoto wanne wa Undertaker wakiume mmoja na wakike watatu.
Mwandishi wa Gazet la Telegraph Tom Fordy alimtaja Undertaker kuwa ni the world’s greatest sportsman,Na vile vile mwaka 2015 Undertaker akawa mchezaji mieleka wa kwanza Aliyesainiwa na kudumu ndani ya WWE Chini ya Brand ya SMACK DOWN toka 1990 na kutanua taaluma ya kazi yake kwa miaka 25 ndani ya kampuni hiyo.
 
Undertaker Ana kaka zake wanne David,Michael ,Paul,Timothy.
Undertake uzito wa kilo 140 na urefu wa futi 6.10 ambayo ni sawa na Mita 2.08. Majina ya Utani ya Undertaker ni ,Texas Red,The Punisher na Master of Pain .
Inakadiriwa kuwa Undertaker ana Utajiri wa Dola Milion 16.
 
c92662d69db4fb592b081189f1b614a2.jpg
 
Back
Top Bottom