myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
18:18
Hahahaha! Hakika..mi mwenyewe natamani niwe nashinda hapa kila saa.....Habari ni kwamba, huu uzi unaendelea kuvuta hisia za walio wengi! Kingekuwa chakula tungesema kuwa ni mchanyato wa JF! [emoji23][emoji23]
Mzima!?Jioni hiyooo
Nawe chukua ingine hiyo mzee wa kipyengaKula like kwanza
Hi mzee wa KingstonHello