Pole sana mkuuLeo nimefiwa again. Mniombee
Za chembe mambo vipi?Heshima kwako mkuu
AMUN RAWakati mwingine maisha yako hivyo. Siyo kwako peke yako mpendwa. Usife moyo na Mtegemee Mungu sana. Hatakuacha !!!
Nikiingia JF tuu nawaza uzi wa like
Nimekuwa teja wa huu uzi yaani huko kwingine hata sikai kama awali
Watu 22 wenye akili timamu wanakimbizana na kitu cha mviringo,Mi nawashangaa sana, ingekuwa like moja unapata walau mia sawa, sasa mi like kibao si kuchoshana tu.
Kwema mkuu habari yakoZa chembe mambo vipi?
Ntakt pm mkuu kwa namba tujuzane meng..Karibu mkuu hakuna shida