Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mi nawashangaa sana, ingekuwa like moja unapata walau mia sawa, sasa mi like kibao si kuchoshana tu.
Watu 22 wenye akili timamu wanakimbizana na kitu cha mviringo,
na watu wengine wenye utimamu wa akili wanawashangilia eti waitwa mashabiki wa vikundi vijiitavyo timu.

Hicho kitufe kikipigwa na kikampita mwangalizi wa milingoti hiyo miwili aitwaye goalkeeper watu wazima eti wanashangilia ajabu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…