Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Newcastle unitedMazishi yake yalihudhuriwa na maelfu ya watu
Siyo mara zote. Asubuhi inaweza kuanza vizuri tu halafu jioni mambo yakabumburuka. Waulize wakazi wa Tornado Alley kule Oklahoma watakwambia. Siku zenye hali ya hewa nzuri kabisa asubuhi ndizo zina uwezekano mkubwa wa kuwa na mitornado mikali sana nyakati za jioni....Siku njema huonekana asubuhi
He!kupendelea sana kuangalia picha za uchi,