Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baadhi ya pundamilia huhama kipindi cha msimu wa ukame,huweza kusafiri kwa zaidi ya umbali wa mile 500 kwa kila mwaka kutafuta chakula na maji ya kutosha. Na zaidi ya hapo wanyama hawa hulala hali ya kuwa wamesimama.
Pundamilia wanaishi kati ya umri wa miaka 20 na 30 porini na kwa mbukani huishi mpaka wa miaka 40.
 
Ni aina ya jamii ya paka pori wakubwa ambao wanapatikana katika bara la America, Asia na Africa,Mnyama huyu hufanana sawa na chui asiye na madoa. wanyama hawa ngozi ya manyoya yao ni tofauti wapo wenye rangi ya manjano au hudhurungi (dark brown fur )na macho ya alimasi(yanaong’aa kama zumari)
 
hujulikana kama black jaguar huko Latini America,na Black Leopard Katika bara la ASIA na Africa ila kwa upande wa amerika kaskazini(North America )Hufahamika
kama Black Cougar.,wenye rangi ya manjano na panther weusi ni katika jamii moja ya wanyama hawa.
 
Baada ya kufikisha umri wa miezi 2-hadi 3 watoto huanza kufundishwa kuwinda na mama yao.
Kiasi cha miezi 8 toka kuzaliwa mtoto panther kutokana na wepesi wa kujifunza na kuelewa kwa haraka kisha kuingia katika utendaji. basi huweza kuwinda na kukamata wanyama wa size ya kati.
 
Black panther ni mmnyama mwenye kono kubwa na imara lenye makucha makali kuliko aina zingine za jamii za paka na hilitumia kono lake hilo kubwa wakati akiwinda.Hunguruma kwa sauti kubwa na ya kutisha, mnyama huyu ana uwezo wa kuruka juu kwa umbali wa futi 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…