HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Hana makuuNyumba ya kawaida kabisa
Hana makuuNyumba ya kawaida kabisa
Iwe mfano wa kuigwa.Safi sana hii
Siyo viongozi wetu pekee bali ni jamii nzima. Jamii yetu inaabudu mafisadi ndiyo maana ukiiba ukatajirika unaitwa mjanja, mtoto wa mjini n. k. Ukiwa mwadilifu kabisa usiibe ustaafu hujatajirika basi utachekwa mno. Ndiyo maana ufisadi hautakaa uishe mpaka pale jamii nayo itakapobadilisha mtazamo wake !!!Iwe mfano wa kuigwa.
Lakini inataka Moyo.
Si kwa hawa Viongozi wetu
Pamoja sana KiongoziMambo poa mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiongozi.kaangalie hii movie kama unapenda kumuona mtoto anafanya kazi za shurba
View attachment 595201 View attachment 595207
Steven GerrardCaptain fantastic
Kiongozi SHIMBA.