Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Iwe mfano wa kuigwa.

Lakini inataka Moyo.

Si kwa hawa Viongozi wetu
Siyo viongozi wetu pekee bali ni jamii nzima. Jamii yetu inaabudu mafisadi ndiyo maana ukiiba ukatajirika unaitwa mjanja, mtoto wa mjini n. k. Ukiwa mwadilifu kabisa usiibe ustaafu hujatajirika basi utachekwa mno. Ndiyo maana ufisadi hautakaa uishe mpaka pale jamii nayo itakapobadilisha mtazamo wake !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…