Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
(4) Giant ant eater(myrmecophaga tridactyla)
GIANT ANTEATER
makazi yake makuu ni msituni,ni mnyama anayelala mchana na kuamka usiku,mara chache utamkuta akitafuta chakula mchana,chakula chake kikubwa sana ni wadudu aina ya mchwa,na wadudu wengine kama dudu chungu,mara zote hutembelea sana vichuguu na magogo, amabyo ni makazi ya wadudu hao,kama shamba lake la chakula ,ni mwenye makucha marefu,huyatumia kuchana,ama kuchimba ila kupata tundu la kutosha kupitisha ulimi wake