Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Panther ni mnyama anayeishi kipweke (solitary)hukutana mara tu msimu wa kujamiana unapofika,baada ya miezio kadhaa ya ujauzito jike huzaa watoto wawili 2 mpaka 4.Ila kazi ya kulea watoto hufanywa na jike mwenyewe.
 
Baada ya kufikisha umri wa miezi 2-hadi 3 watoto huanza kufundishwa kuwinda na mama yao.
Kiasi cha miezi 8 toka kuzaliwa mtoto panther kutokana na wepesi wa kujifunza na kuelewa kwa haraka kisha kuingia katika utendaji. basi huweza kuwinda na kukamata wanyama wa size ya kati.
 
Black panther ni mmnyama mwenye kono kubwa na imara lenye makucha makali kuliko aina zingine za jamii za paka na hilitumia kono lake hilo kubwa wakati akiwinda.Hunguruma kwa sauti kubwa na ya kutisha, mnyama huyu ana uwezo wa kuruka juu kwa umbali wa futi 20.
 
Back
Top Bottom