Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

0cfde7187b6415c94d340926954beaa1--crazy-tattoos-dream-tattoos.jpg
 
Kiongozi SHIMBA.

Picha hii (Eddie Murphy) imenifanya niikumbuke Avatar yako ya kitambo kileee.

Yaani hata kabla ya huu Uzi kuanzishwa.

Nikirudi kwenye Picha hii husika😀.

Haya Kiongozi
Una kumbu kumbu kali ajabu. Avatar yangu ya mwanzo mwanzo kabisa. Heshima yako mkuu.

Hii nadhani ni photoshop tu wamemuwekelea Trump hapo. Sidhani kama Murphy anaweza kusimama naye hivi bega kwa bega...
 
Back
Top Bottom