Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Think Big
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Shemeji yangu wewe ujanja ujanja mwingi Safi Sana. [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekumbuka mbaliiiKimbaumbau kanenepa kawa Tukunyama
17:2714:35
Kabisa mkuu
My princess malkia atakuja hapa wala msiwe na hofuInawezekana kamwambia asijehumu
Kwema?
Kabisa MkuuTAHADHARI.
KAMA UNAUTAKIA UZI HUU MEMA..USIWEKE HISIA ZA SIASA.
LIPO JUKWAA LA SIASA HUWA TUNAENDA KULE
Kama kawaidaKwakweli mmejaaliwa mbio, mnagonga likes kama ugomvi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Speed yenu inawafanya mchukiwe na watu wa majukwaa ya ban
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanasiasa, nao wameweka chini zana zao za kazi wamekuja kuonja likes za Uzi huu
Tupo mkuuWakuu wa zama
17:3712:21
Poa mkuu umepotea mkuushwari kabisa mzee wa liver
vipi michakato
Zama bora kabisa hizoZama za Liverpool ikitawala soka barani ulaya
Wakati na majira yakekila jambo na muda wake
Upendoamani
Amaniupendo
Amani yetuumoja wetu