mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Pamoja mkuuKweli kabisa hata Naomi alimpenda sana hadi hii leo huwa mara nyingi anaweka picha zao wakiwa pamoja.
Pamoja mkuuKweli kabisa hata Naomi alimpenda sana hadi hii leo huwa mara nyingi anaweka picha zao wakiwa pamoja.
Amani yetu
HahahahahaNimetoka kula bonge la ugali. Naingia humu nakutana na uzi ati serikali ipige marufuku ulaji wa ugali,eti unadumaza akili..
mweeee
Wakati wote ni wakati wa likesnalike wakati wote
Why?Rutashubanyuma man of the match
Hapo unaibiwa mkuuFanya scrub walau mara moja kwa mwezi ili kulainisha ngozi ya usoView attachment 596078
Aisee Mwenye Enzi Mungu amponye ni kweli ni muda sasaNitajaribu kumcheki. Anauguliwa na mzazi wake kwa muda sasa. Tuendelee kumuombea tu!!!
Hahahhaa hakuna shida mkuuAaaa wapi. Sijui cho chote. Najaribu tu kuangalia angalia. Nikija huko utaniona tu hapo Dodoma. Hata ukitaka unga wa muhogo nitaleta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]