Madhara yatokanayo na kemikali hizi yanaweza sababisha muwasho wa ngozi, matatizo ya macho, na aleji (allergic reactions). Pia hupunguza uwezo wa kufikiria, na wakuhifadhi kumbukumbu, kichefuchefu,matatizo ya mfumo wa upumuaji, kansa,ukuaji na matatizo ya uzazi.