mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ndio maisha mkuu1Unakula vuzuri ndio usikufe na njaa..
+Unangangana sana katika hustle na mabiashara zako zote ndo katika siku zijazo, usikufe maskini .
+Unavaa vizuri ati ndo usikufe na baridi.
=Lakini siku moja unatembea mtaani alafu unaona haga mzuri mbele yako unaanza kuiangalia na ma sexy eyes alafu unasahau kuangalia barabara.. Kidogo kidogo gari inakuja inakugonga unakufa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
YapSina data zake za hivi karibuni.
Ila usijali, nikipata muda nitafanyia kazi kisha nitakufahamisha.
Enzi zao nakumbuka na Usher Raymond Mapenzi yao yalikuwa Moto Moto.
Waliuza sana Habari wawili hawa
Kabisa mkuuSana.
Mechi yake ya mwisho 2015 Anfield dhidi ya Crystal Palace ilipoisha alikuwa mnyonge sana.
Kwa kweli ilimuuma sana.
Bora alivyoambulia japo Klabu Bingwa Ulaya kwa kipindi chake
Hahahahaha
Mzima kabisaKiongozi.
Salama sana.
Nashukuru.
Wewe je!
Hujambo?
Teh teh teh kulikoni tena niongeze posahahahahaha
bado cjahalalisha
Du atakuwa bonge sana
Njema kabisa baba mkwe.Habari kk
uko sahihi...tunakumbushaIla nadhani likes katika uzi huu zinazidi kupungua siku hadi siku.
Imekuwa nadra sasa kukuta post ina likes 5 kama tulivyokuwa tumezoea
Post nyingi sasa zina likes moja, mbili na mara nyingi hazizidi tatu.
Kuna nini?
Tumechoka ama?
Mungu Aendelee kutubariki na kutuzidishia upendo.
(Just an observation. Silalamiki ha ha haaaa)
08:2605:26