HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwingine kila mwaka anaoa bikira
Kiongozi.Tungekuwa na viongozi kama huyu dunia nzima ingekuwa salama sana
Kiongozi.Habari yako Mkuu
Pamoja sana KiongoziUna kumbu kumbu kali ajabu. Avatar yangu ya mwanzo mwanzo kabisa. Heshima yako mkuu.
Kiongozi.Hii nadhani ni photoshop tu wamemuwekelea Trump hapo. Sidhani kama Murphy anaweza kusimama naye hivi bega kwa bega...
HakikaHatuna cha kumlipa zaidi ya kumwabudu yeye na kumtuza Mwenye Enzi Mungu
AmenHabarini za asubuhi
Tumshukuru Mungu kwa siku ya leo
Mungu atubariki sote
Safi sanaJINSI YA KUPIKA MAJI YA KUOGA...
Kuoga ni kile kitendo cha kujifanyia usafi mwili wote.
Vifaa:
1. Maji safi.
2. Sufuria safi
3. Jiko
4. Ndoo mbili.
Vitendo.
1. Weka maji kwenye sufuria safi kisha bandika jikoni. Hakikisha moto umewaka vyema na hauna moshi ili maji yasinuke.
2. Andaa ndoo mbili, moja kwa ajili ya kuwekea maji ya kupoza na ya pili kuwekea maji ya kuoga.
3. Baada ya maji kupata moto yaweke kwenye ndoo tupu iliyo safi. Kisha chukua maji mengine yabaridi poza mpaka yapoe kiasi unachotaka.
4. Sasa maji yako yapo tayari kwa kuoga.
Kama hutaki kaoge ya baridi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]