Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siyo viongozi wetu pekee bali ni jamii nzima. Jamii yetu inaabudu mafisadi ndiyo maana ukiiba ukatajirika unaitwa mjanja, mtoto wa mjini n. k. Ukiwa mwadilifu kabisa usiibe ustaafu hujatajirika basi utachekwa mno. Ndiyo maana ufisadi hautakaa uishe mpaka pale jamii nayo itakapobadilisha mtazamo wake !!!
Kweli Mkuu umeongea
 
4f886241bb537d4d46ab2e583baa97c6.jpg
Hahahahaha hii hata kwa matajiri zetu wamiliki wa mabasi basi likipata ajali la kwanza kuuliza yeye ni basi lake limeharibika au masuala ya majeruhi na waliokufa sio muhimu kwake
 
Back
Top Bottom