Mzee madiba alikuwa anamzimikia balaaCampbell, One of the best Super Model in the World
Kabisa hiyo ni photo shop mkuuUna kumbu kumbu kali ajabu. Avatar yangu ya mwanzo mwanzo kabisa. Heshima yako mkuu.
Hii nadhani ni photoshop tu wamemuwekelea Trump hapo. Sidhani kama Murphy anaweza kusimama naye hivi bega kwa bega...
AMUN RAHuyu sijui muumini wa AMUN RA?
Dah nami naombeni likes zenu,...
Habari za asbh MkuuKumekucha na makucha yake
Na asbhSiku njema huonekana machoni
Na kwako mkuuAsubuhi njema