Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6482e3d49e6e20a527af503c8729d57e.jpg
Nini hii
 
Aaaaargh jamaniiii.....
***********************
Vitu ambavyo wanaume huwa tunajidanganya n ile kusema eti "Nikimpa mimba atatulia"My frend hawa watu kutulia ni ngumu hadi uwavunje miguu tu[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1Unakula vuzuri ndio usikufe na njaa..
+Unangangana sana katika hustle na mabiashara zako zote ndo katika siku zijazo, usikufe maskini .
+Unavaa vizuri ati ndo usikufe na baridi.
=Lakini siku moja unatembea mtaani alafu unaona haga mzuri mbele yako unaanza kuiangalia na ma sexy eyes alafu unasahau kuangalia barabara.. Kidogo kidogo gari inakuja inakugonga unakufa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
 
Back
Top Bottom