Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pamoja na kwamba maumivu huanzia usawa wa kitovu, lakini dalili za awali kabisa huanzia juu ya kitovu ambayo huja na kupotea na mgonjwa anaweza kujihisi ana ugonjwa wa vidonda vya tumbo, baadaye ndipo hushuka chini taratibu na kusambaa.

Dalili hizi ni tofauti na watoto ambao hulalamika tumbo linauma sehemu zote kukiwa hakuna eneo maalam na baadaye maumivu huwa makali sana kwa tumbo lote hata akiguswa linauma sana.

Hali ya tumbo kuuma huambatana na kujaa gesi kwa wote yaani wanaume, wanawake na watoto.
 
Pamoja na kwamba maumivu huanzia usawa wa kitovu, lakini dalili za awali kabisa huanzia juu ya kitovu ambayo huja na kupotea na mgonjwa anaweza kujihisi ana ugonjwa wa vidonda vya tumbo, baadaye ndipo hushuka chini taratibu na kusambaa.

Dalili hizi ni tofauti na watoto ambao hulalamika tumbo linauma sehemu zote kukiwa hakuna eneo maalam na baadaye maumivu huwa makali sana kwa tumbo lote hata akiguswa linauma sana.

Hali ya tumbo kuuma huambatana na kujaa gesi kwa wote yaani wanaume, wanawake na watoto.
 
Chanzo cha tatizo

Kama tulivyoona hapo awali chanzo cha tatizo, maumivu makali ‘Acute’ hapa hutokana na vile vitu vigumu vilivyoingia katika kidole tumbo kushindwa kutoka hivyo huziba kwa juu na zile taka ngumu huganda humo na kidole tumbo kuzidi kuvimba.

Hali ya usugu wa maumivu hutokana na taka ngumu hizo kukaa humo kwa muda fulani na baadaye hutoka huku ukiacha hali ya kidole tumbo kuwa na uvimbe.
 
Hali ya uvimbe ikikaa muda mrefu husababisha mzunguko wa damu kuzuiliwa sehemu hiyo hivyo kidole tumbo huvimba zaidi na husababisha kuta za Apendeksi kuharibika ‘Necrtotic’ na kukusanya majimaji kama usaha.

Hali hii husababisha tatizo liitwalo ‘Peritonitis’ yaani tumbo lote huathirika na kuuma. Mgonjwa akichelewa kupata tiba, usaha huu husambaa katika mfumo wa damu na kusababisha kifo.
 
And put me where You want to
Not where I want to be
If I should ask for things I want
Just give me what I need
When I complain from time to time
Forgive me, Lord I pray
Lord keep me in Your will
So I won't be in Your way.....[emoji445][emoji445][emoji445]
[emoji120][emoji120]
 
Uchunguzi

Huzingatia historia ya mgonjwa, dalili na ishara zitajitokeza, vipimo vya damu vitafanyika, vipimo vingine ni vya Ultrasound na CT Scan ya tumbo vitasaidia kujua tatizo kwa undani zaidi.

Zipo pia njia mbalimbali za uchunguzi ambazo daktari anaweza kuzitumia mfano ‘Rovsing’s sign’ na sitokovkty’s sign na nyinginezo.
Matibabu
 
Tatizo hili katika hatua za awali mgonjwa anaweza kutibiwa kwa dawa lakini tatizo linapoendelea inabidi afanyiwe upasuaji kuondoa Apendeksi.

Tatizo likiwa kubwa, upasuaji wa dharura hufanyika. Ni vema uwahi hospitali kwa uchunguzi na tiba.
 
Kidole Tumbo ni nini?

Hiki ni kitendo cha kuvimba kwa appendix.

Nini kinasababisha Kidole Tumbo


Hutokea pindi ambapo appendix inafungwa na vitu kama Uvimbe, vitu vigeni kwenye utumbo pia haja kubwa(mavi) vilevile appendix inaweza kufungwa kutokana na maradhi ya mwili ambayo yanauwezo wa kusambaa mwili mzima.
 
Dalili za kidole tumbo



Maumivu mepesi katika sehemu ya kitovu au maumivu makali juu ya tumbo yanayoelekea sehemu ya chini kulia mwa tumbo. hii ndiyo dalili ya kwanza.
kukosa hamu ya kula.
Kichefuchefu au kutapika pindi tuu unaposikia maumivu ya tumbo.
Kuvimba kwa tumbo.
Kuvimbiwa.
Homa kali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…