Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Penda sana weyeHaswaaaa[emoji23]
Penda sana weyeHaswaaaa[emoji23]
Tuko poa mkuuHope wote mko poa na mmeamkaje salama kabisa
Anakuwa kama UN bhana[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana sichoki kuwa karibu na wewe.
Huyu baba mkwe nahisi anaweka vikwazo vingi sababu posa ipande
[emoji7][emoji7][emoji7]Penda sana weye
Sitaki kumwaga kuku wachache kwenye mpunga mwingi[emoji6] [emoji6] [emoji6]Asante[emoji120][emoji120]
Ila kazi ipi hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]isijekuwa naitikia vitu vingine lol
Wa NguvuWale watu wangu
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Sitaki kumwaga kuku wachache kwenye mpunga mwingi[emoji6] [emoji6] [emoji6]
Nafurahi kukuona kwa kweli.
Uliniamishia jana mafurushi yako ya vyuma vikakaza. [emoji6] [emoji6][emoji7][emoji7][emoji7]
Jana mbona sikukuona?
Nao ni jamii ya wanyama waliobahatika kupata umri mrefuChui mweusi huishi (Panther)umri wa miaka 12 Porini na kwa wale wanaofungwa huishi miaka 20.
Bob 12 punguza vikwazo hivo hata kama vyuma vimekazaAnakuwa kama UN bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie apunguze vikwazo
Amin, nawe ubarikiweHabarini za asubuhi
Tumshukuru Mungu kwa siku ya leo
Mungu atubariki sote
Pole sanaUliniamishia jana mafurushi yako ya vyuma vikakaza. [emoji6] [emoji6]
Ubusy kwa kweli si wa mchezo nikaingia jf kama saa 6 hivi tena kwa dk chache tu
[emoji122][emoji122][emoji122]Bob 12 punguza vikwazo hivo hata kama vyuma vimekaza
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Cause You are the God of all my days
Each step I take, You make a way
And I will give You all my praise
My seasons change, You stay the same
You are the God of all my days....
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
AminAmin, nawe ubarikiwe
Nahisi kuna vigogo wapo nyuma ya hii kesi maana kila siku shahidi anajitokeza na kufufua kesi upya[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Me pia
Vipi ile kesi imeisha?[emoji23][emoji23][emoji23]