Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
hatari kubwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mechi mbili point mbili hatari kweli
cha msingi ufikishe point 10
hatari kubwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mechi mbili point mbili hatari kweli
Mungu anasaidia aisee,sijui wewePamoja mkuu mambo niaje lakini
hahahahahaTeh teh teh kulikoni tena niongeze posa
Viv mzima kabisaNjema kabisa baba mkwe.
Habari ya viv?
Naomba umuulize carbamazepine atakwambia ukweli hizo zote ni fununu tu baba mkweViv mzima kabisa
wewe nasikia una wake wengi sana,nitakuamini vipi kukupa mwanangu
Baba mkwe mbona unakuwa complicater.Itabidi nimtafute KK kwa hard talk kuhusu hili swala
Poa sana kiongozi.Kk mambo vipi Mkuu