Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

06b2a8267c2c73ffede51b27243643b9.jpg
 
UKWELI KUHUSU DEGEDEGE. Degedege ni hali ya ghafla ya kutingishika mwili mzima au mikono na miguu kunako sababishwa na kukakamaa kwa misuli ya mwili. SABABU. Tatizo la degedege mara nyingi linatokana na magonjwa au hitilafu katika ubongo. 1.Magonjwa ya ubongo kama Kifafa. 2.Upungufu wa vichocheo kwenye damu kama upungufu wa sukari kwenye damu (Hypoglycemia) na upungufu wa hewa ya Oksjeni ya kutosha kwenye damu(Hypoxia).
 
Back
Top Bottom