Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila nadhani likes katika uzi huu zinazidi kupungua siku hadi siku.
Imekuwa nadra sasa kukuta post ina likes 5 kama tulivyokuwa tumezoea
Post nyingi sasa zina likes moja, mbili na mara nyingi hazizidi tatu.

Kuna nini?
Tumechoka ama?
Mungu Aendelee kutubariki na kutuzidishia upendo.

(Just an observation. Silalamiki ha ha haaaa)
​
Ni kweli Mimi nimeliona kwa sababu huwa nitabia ya kuanzia nyuma sana hata 10hrs ago naona hilo hata ukiwa mbele huku kuna watu Wana post lakini awalike
 
Back
Top Bottom