Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Danbury mpooooooooooooooo
Mwingne utanisaidia ili tufikishe hyo litre[emoji23] [emoji23] [emoji23]Naja na ndoo ya lita20[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiandae
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Mana jana namuuliza kuhusu wewe ananiambia et yeye hajui mana huwa tunaondoka wote[emoji23][emoji23][emoji23]sasa sijui nakupelekaga wapi
Busia mpoooBungoma Mpooooooo
Puerto Rico ni Wamarekani lakini wametelekezwa. Tayari wanasema ni kwa vile siyo wazungu. Wiki ya pili sasa bila cho chote. Ni yale yale ya Katrina na weusi wa New Orleans
HahahahaaaaNg'ang'ana ung'ang'aniwe
Subiri wakianza tena kumrushia maganda ya ndizi