Chapa kiongozi watu wakajenge heshima mtaaniNacharaza like
Sisi humu humu tu!Muwe mnatembelea majukwaa mengine mlete habari , hamuwezi jua huenda wenzetu wamekimbia nchi kuepuka dhoruba, kimbunga, tetemeko, mafuriko, nyi kazi kulike tu. Jiangalieni ndugu zangu
Kafiri anashughulikiwadah! kafiri anachunwa tu...
Uko wapi huo uziuzi maalumu wa kupeana like
Murphy sign
News hii hapa: ukiona alama hii ni ya wauza unga! Nilikuwa naziona sana marekani nilikuwa sijui ni nini! Kuna mtu kapost leo! Na mimi nimejua Leo!Muwe mnatembelea majukwaa mengine mlete habari , hamuwezi jua huenda wenzetu wamekimbia nchi kuepuka dhoruba, kimbunga, tetemeko, mafuriko, nyi kazi kulike tu. Jiangalieni ndugu zangu
GongagongaWekeni vitu
GeJoKaribu
Inabidi uwe msiriKuwa jasiri
Tunashukuru kujua umefika marekani kula likeView attachment 529847
News hii hapa: ukiona alama hii ni ya wauza unga! Nilikuwa naziona sana marekani nilikuwa sijui ni nini! Kuna mtu kapost leo! Na mimi nimejua Leo!