Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ishawahi kutokea,
Mkuu wa Wilaya mwembamba sana,
Dereva wake mnene sana, wakafanya ziara kwenda kagua shughuri za maendeleo,
Kufika dereva kakaribishwa kwa heshima zote, mkuu wa wilaya kaachwa mpaka kajitambulisha kuwa yeye ndo mkuu wa wilaya mpya.
Ilikuwa bifu kubwa kati ya dereva na mkuu wake wa kazi.
Nani mwenye makosa?
 
Back
Top Bottom