mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Poa mkuu niajeHabari zenu liker
Hahahahahawewe huna wanawake wengi sema unamichepuko kila kona[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila akikupa viv utatulia
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Asante[emoji120][emoji120]
Ila kazi ipi hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]isijekuwa naitikia vitu vingine lol
HahahaAnakuwa kama UN bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie apunguze vikwazo
Du naye si mtu anayejulikana[emoji4] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pole sana
Mana nilijua albadir imeanza kujibu[emoji38][emoji38]
TeteteheteheAmeamka kwa kufumbua macho na kuondoka kitandani
Sorry imejipost hiyo [emoji125] [emoji125]
Maalumu kwa ajili ya watu maalumuUzi huu...
Hupunguawivu ukizidi nyumbani mapenzi hupungu.............
na likes kila posti
tupeane furaha
Kabisa mkuutupeane burudani
Hahahahaha 20lita hatariNaja na ndoo ya lita20[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiandae
sawasawa..We make war so as to live peace.
Hahahahahakulinda ki 'nadharia ni muhimu japo maamuzi ni yao mkuu
Sijui kama kuna ukweli hapo
Kwa kila postLIKES
Gr8 Mkuu mambo niajeSalaam mzee wa liver
Likes likesNimekuja kupewa chochote
Nzuri mkuuHabarini humu