Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kwa makwazo? Sikujibu kabisaaaaaSasa sijui nikuulize au nikuache kwanza[emoji47][emoji47]
Hata sielewi
Anthropologist wewe. Nakupa ruhusa ukachimbue hayo makaburi...Wee mzee kuna kipindi sikuamini kabisaaa sema tu undugu ndio unatufanya tuendelee kuwa pamoja.
Nikizikumbuka zile vesi mbili tatu za nyuma...enewei,nwenyewe anahangaika na ipielo utadhani itamsaidia kushinda BIKO.
Tatizo umefika na jakitoo kashaenda kulala
Makwazo??walaaaa,kuwa na amaniKwa makwazo? Sikujibu kabisaaaaa
Kwamba eti ...yaani ukae tu unasubiria tuuu mpaka ipielo iishe bila ku... (Kwenye kumalizia ndio pananitatiza)Ya nini tena??[emoji15][emoji15]
Usifanye hivyo bhanaNingeitoa saangapi na wewe ulikimbia?
Ulivyomjanja sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ai sarenda[emoji119][emoji119][emoji119]nanyoosha mikono kabisa
Huyu mzee akianza kutishia kufukua makaburi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]Anthropologist wewe. Nakupa ruhusa ukachimbue hayo makaburi...
Carba unamuona lakini huyu mzee? Anaongelea nini?
Mkuu habari yakoUmehamasika eee!!?!!! Basi,kata kata kata....
Me nipoHaina neno. Wewe si upo shemeji?
[emoji29]Me nipo
Yaani hiyo akili yako tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba eti ...yaani ukae tu unasubiria tuuu mpaka ipielo iishe bila ku... (Kwenye kumalizia ndio pananitatiza)
Aonaye huona !!!Me nipo
Kwa jakitoo? Hata kama ni mate si bora niende kwa babe S,uniq bado ni tineja kwa hiyo lazima...Naona ana lake huyu Mzee wa Tukuyu. Ngoja nimwangalie kwa makini. Wahasibu hawa ni wahongaji wazuri ohooo !!!
Sasa naja na vikwazo kama vya UN jiandae[emoji23][emoji23][emoji23]Usifanye hivyo bhana
Jirani vipi tena[emoji23][emoji2][emoji29]
Nusu saa hautanikuta shemNaingia barabarani. Nusu saa hivi nitafika home. Usiondoke please !!!