Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Yaaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23]basi tu
Ninazo nyimbo kibao za Kisukuma kuanzia za harusi, uchaguzi n.k. Nikutumie?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muiteee tutacheza hizi hizi za kisukuma[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata nimeelewa nilicho andika basi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niliwamisimo tuShemeji. Vipi tena?
Ahsante mama[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]nimeelewa,pole hatahivyo
Nimeshafika shemeji. Ningekuwa najua kweka audio hapa ningeweka moja tucheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unamaanisha kucheza hizi za ki magharibi hajui?[emoji23][emoji23][emoji23]jamani
SHIMBA YA BUYENZE waitwa huku
Heeeee!!!!! Nina hofu...Mwakani sijui[emoji19][emoji19][emoji19]
Nimemuona. Afadhali sana kuwa kaja. Mungu wetu ni Mwema sana!!!We jichekeshe tu[emoji35][emoji35][emoji35]
SHIMBA YA BUYENZE nduguyo kaonekana huku leo[emoji19][emoji19]ila mwambie nimemnunia[emoji57][emoji57]
Abeee,nimeacha kununaCarba....
Haàaaa jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Atakuwa amevurugwa huko alikotoka. Naona kukimbiwa na Nsamaka kumemletea msongo wa mawazo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama yangu jakitoo,nimewakumbuka ndugu zangu wooote tena kwa upendo wa dhati kabisa.
SYB hajakata kamba kwa kislani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ningeitoa saangapi na wewe ulikimbia?Nilikuwa nasubiri marufuku yako nashangaa ujanipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwenzio anataka bluzi etNinazo nyimbo kibao za Kisukuma kuanzia za harusi, uchaguzi n.k. Nikutumie?
Jamaniii. Itakuwa umetandika jibapa si bure. Mimi huyu jamani huwa huniamini? Mimi huyu? Kweli?Carba[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
SYB kuja pande hii unisaidieeeee(hata simuaminigi sana kwa msaada)
Unaninyanyapaa sana,nguvu bado ninazo ujue...Abeee,nimeacha kununa