carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ni kweliAisee. Tumpe pole tu kwa kweli. Maisha haya unaweza kumnunia mtu kumbe s/he is going through hell. Tumshukuru Mungu!
Naacha kununa
Ni kweliAisee. Tumpe pole tu kwa kweli. Maisha haya unaweza kumnunia mtu kumbe s/he is going through hell. Tumshukuru Mungu!
Kuna nini shemeji? Naona Mzee wa Tukuyu kaja na kisirani balaa. Hajambo lakini?SHIMBA YA BUYENZE kuja pande hii tafadhali[emoji23][emoji23]
Ipielo inaisha lini?Ninachokupendea siku za ipielo unanikimbia mapemaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpira umeisha eeh?au half time???
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]nimeelewa,pole hatahivyoHali ilikuwa sio kabisa mama,imemsumbua siku tatu mfululizo
Shemeji. Vipi tena?[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] kisilani utadhani SHIMBA YA BUYENZE[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikuwa nakutafuta maana mamaa wa kikoromije alikuwa anataka kucheza muziki ila uvivu ulimjaa[emoji23][emoji23]Kuna nini shemeji? Naona Mzee wa Tukuyu kaja na kisirani balaa. Hajambo lakini?
Amen[emoji120] [emoji120] Haya mapito unaweza kukufuru mkuuAisee. Tumpe pole tu kwa kweli. Maisha haya unaweza kumnunia mtu kumbe s/he is going through hell. Tumshukuru Mungu!
Mwakani sijui[emoji19][emoji19][emoji19]Ipielo inaisha lini?
Atakuwa amevurugwa huko alikotoka. Naona kukimbiwa na Nsamaka kumemletea msongo wa mawazo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaaani wewe[emoji35][emoji35][emoji35]
Acha tu,nisiseme mengi[emoji22][emoji22]
Carba....Kapatikana ila bado nimemnunia japo katoa maelezo..
Halafu asante kwa mzigo nimepata...
Shemejiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me nilitaka nikuitie SHIMBA YA BUYENZE mcheze wote