Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-27-22-59-04.png
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] SYB
Nshafika wapendwa. Na kisirani cha Mzee wa Tukuyu nshakiona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona kagoma kuja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaniii. Itakuwa umetandika jibapa si bure. Mimi huyu jamani huwa huniamini? Mimi huyu? Kweli?
Wee mzee kuna kipindi sikuamini kabisaaa sema tu undugu ndio unatufanya tuendelee kuwa pamoja.
Nikizikumbuka zile vesi mbili tatu za nyuma...enewei,nwenyewe anahangaika na ipielo utadhani itamsaidia kushinda BIKO.
 
Hakika mama,nashukuru kwa maombi yenu,Mungu bado anaendelea kujidhihirisha ukuu wake.Naamini yatapita salama,lakini si nitakavyo mimi,bali vile Baba atakavyoona inafaa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom