myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Unamuuliza kama nani??[emoji23][emoji23]Shemeji unaenda wapi
Mmeshaanza kuitana "mpenzi shemeji" eeh??[emoji19][emoji19][emoji19]Shemeji Hilo Jina la mpe..... Linanipa ukakasi Sana
Kuna vijana humu ndani wana tirilioni na zilioni of bakteria [emoji23] [emoji23]B 7 acha utani mkuu
Aisee... Pole sana.Mawasiliano nilipoteza,nikawa siwezi kukupata kwa kukosa kumbukumbu.Andjul hv hujaibwa kweli?
Karibu tena nafarijika kukuona hapaKm nimeanza kurudi rudi, ngoja kwanza nimtafute huyu. @Carba popote ulipo naomba utambue uwepo wangu.
Bibi weee nishakuona khaa!fujo nyingiii[emoji23][emoji23][emoji23]Atakaenionea Carba, mwambieni nimerudi.