Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Jamani[emoji120][emoji120]Carba nakupa jina jipya mama wa magazeti
Sijambo,za kuadimika?Nipogo, hujambo?
Weweee nunua kiatu hicho upendeze[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani kiatu pea moja mtaji wa Forex hapana hii kuchezea fedha
Acha ubahiri wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ukivaaa unakuwa unapaa
Mwache aje nimfumue[emoji123][emoji123][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tulia my princess upone kwanza
Siku hizi wapenda ubuyu khaaa![emoji23][emoji23][emoji23]Aweke wazi
Nipo aisee, ingawa ni kwa machale!Sijambo,za kuadimika?
NakuombaAisee... Pole sana.Mawasiliano nilipoteza,nikawa siwezi kukupata kwa kukosa kumbukumbu.
Unaendeleaje kwa sasa? Naomba urudi kule kwa njia ya kawaida,kwingine sipo hewani