Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unaongea kama jimama la Kizaramo limejitandaza linakuna nazi. Mipasho si mipasho, umbea si umbea ali mradi vurugu tupu. Shemeji, mpango gani unasukwa hapa? Nilinde please !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji,limama la kizaramo linakuna nazi? Limejitandazaje? Futa kauli yako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uuwiii
Najaribu kuoata picha ya hilo jimama lilivyokaa
 
Badala ya kuosha vyombo, liwe linakuna nazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Punguza umbea mkuu !!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbavu zangu jamani
Yale makaburi ya jana ndio anataka kuyafukua
Kanichamba kiaina hadi sijielewi.Wazaramo wanajitandazaje wanapo kuna nazi?
Niambie tu ili nijue nipo pozisheni gani[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] natia huruma eee?
 
Ndo jakitoo anataka uwe hivi[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Shemejiiiiiii....

Mbona niko hivyo tayari?

Naweka hapa ili wenye vitambi wachangamke. Andjul hana kitambi kweli?
Mapenzi yangu na Jakitoo hayaangalii vitu superficial kama siksi pak shemeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanichamba kiaina hadi sijielewi.Wazaramo wanajitandazaje wanapo kuna nazi?
Niambie tu ili nijue nipo pozisheni gani[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] natia huruma eee?
Ni lugha ya picha hiyo. Sitiari. Ulinganifu mpishano. Mwanaume mzima na kujitandaza wapi na wapi? Come on man !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…