carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Halafu sikutegemea ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Kanichamba kiaina hadi sijielewi.Wazaramo wanajitandazaje wanapo kuna nazi?
Niambie tu ili nijue nipo pozisheni gani[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] natia huruma eee?
Kakiwekea picha hii sasa pata picha kakaa anakuna nazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watia huruma kweli