Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b946a03a53502d2610376bd77f49548d.jpg

Forekizampo huyu anaamua kukuna nazi, pale ze riva bitwini itakuwaje?
Wasukuma na kukuna nazi wapi na wapi?
 
Jana sikulala shemeji. Usiku mzima nambembeleza Jakitoo wangu alikuwa hajisikii vizuri. Hapa nimechoka balaa. Hizo cheche siyo mimi. Ni usingizi wa jana huo. Nisamehewe please. I hope sijamkwaza mtu !!!
Kwendaaaaa...Usingizi wako unazijua hips? Haya sawa,usingizi wako unaakili sana,ndio unichungulie nilivyo jitandaza!!! Halafu unashangilia badala ya kulala baada ya kuona vitu amezingi(kisiki cha mpingo)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom