Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

032fd206894a59d51aeef199f902bffb.jpg
 
akili yangu haipangiwi cha kuwaza wala pakuishia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama umetibuka agiza jibapa nalipa kwa tigopesa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ungejua ninavyo ligaragaza hapa hata usingesema.Hali ya hewa huku inaruhusu kuliangamiza kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uongozi wa Bayern Munich umethibitisha kumtimua kocha wake, Carlo Ancelotti baada ya kuchapwa mabao 3-0 na PSG kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya jana.
Vigogo hao wa soka walipokea kichapo cha aibu wakiwa ugenini Paris, Ufaransa kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Kipigo hicho kimewakera viongozi wa juu wa klabu hiyo ya Ujerumani, ambapo siku nzima ya leo Alhamisi kulikuwa na tetesi za kutimuliwa kwake.
Hata hivyo, jioni hii uongozi wa klabu hiyo umethibitisha kuachana na kocha huyo ambaye aliipatia taji la ubingwa wa Bundesliga msimu uliopita.
 
Kwendaaaaa...Usingizi wako unazijua hips? Haya sawa,usingizi wako unaakili sana,ndio unichungulie nilivyo jitandaza!!! Halafu unashangilia badala ya kulala baada ya kuona vitu amezingi(kisiki cha mpingo)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata sijui unaongelea nini mkuu....

This ain't funny no more....

Likely you are drunk sir....

I am out !!!

[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Hata sijui unaongelea nini mkuu....

This ain't funny no more....

Likely you are drunk....

I am out !!!

[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
Ohoooo
Jamani vipi tena?
 
Usifadhaike moyoni mwako.Ilivyokuwa ndivyo itakavyo kuwa...Nipo nilikuwa napitia pitia maandiko kwenye biblia, kabla ya kuingia kulala nikapita huku..Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom