Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kanichamba kiaina hadi sijielewi.Wazaramo wanajitandazaje wanapo kuna nazi?
Niambie tu ili nijue nipo pozisheni gani[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] natia huruma eee?
Halafu sikutegemea ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Kakiwekea picha hii sasa pata picha kakaa anakuna nazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watia huruma kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uuwiii
Najaribu kuoata picha ya hilo jimama lilivyokaa
Hapo ndipo pananitatiza.Sina hips achana na msambwanda,hilo dera nalivaaje kwa mfano? Aaaa nimechambwa leo jamaniiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] Mdomo koma ...
 
Shemejiiiiiii....

Mbona niko hivyo tayari?

Naweka hapa ili wenye vitambi wachangamke. Andjul hana kitambi kweli?
Mapenzi yangu na Jakitoo hayaangalii vitu superficial kama siksi pak shemeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba nikuone shemeji[emoji85] [emoji85]
imejitype [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…