andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ipielo....huduma anatoa? Kama analala nyumbani hakuna tatizo.Mmhh[emoji19][emoji19]shida za ipielo?[emoji47][emoji47][emoji47]
Kama anavutiwa saaaana na makelele ya mpira, hebu zitafute hizo kelele na uzihifadhi kwenye CD, kila akifika mfungulie kilonga longa chenu kwa sauti ya juu ili aendelee kuinjoi hizo kelele.