Mkubalie analotaka,ukiona ametulia unalianzisha tena,ila mdogo mdogo...baadae atazoea.Punguza kutaja taja majina ya wachezaji mara kwa mara.Mpende hadi ajisikie unampenda kweliMy ndugu upo upande wangu
Damu nzito kuliko maji
Usijaribu.!Nilikuwa najaribu kukuweka kwenye uhalisia kilichozungumzwa[emoji23][emoji23]
ulivyokuwa mdogo sasa hadi raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My ndugu upo upande wangu
Damu nzito kuliko maji