Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JIKINGE DHIDI YA MAGONJWA, AJALI NA VITU VINGINE VINAVYOHARIBU AFYA ZETU
Jua jinsi ya kujikinga dhidi ya magonjwa, ajali na vitu vingine vinavyoharibu afya zetu (Sumu; vipodozi, vyakula na vinywaji visivyo salama; mionzi mikali; wadudu na mimea inayodhuru) nk. Kisha jikinge ipasavyo.
 
And take you everywhere I go
Never thought I'd find
Someone I could call my own
And I should say
As I'm on my way, to you, you
That I love you, I love you
I really do
I really do[emoji445][emoji445]
The best kind of friend is the kind you can sit on a
porch swing with, never say a word, and then walk away
feeling like it was the best conversation you've ever had.
You are my best friend I love you so much
 
Screenshot_2017-09-28-20-53-05.png
 
DHIBITI UZITO WAKO (BMI), KIASI CHA SUKARI NA MAFUTA MWILINI, SHINIKIZO LA DAMU, KIASI CHA DAMU, HALI YA LISHE, AFYA YA AKILI/MSONGO WA MAWAZO nk
Uzito mkubwa na uzito mkubwa uliopitiliza utakuweka katika hatari ya kupata magonjwa ya kisukari, presha, moyo na kadhalika. Dhibiti uzito wako vizuri uwe na BMI kati ya 18.5 na 24.99 (Rejea mada ya uzito na BMI)
 
Kila mtu anapenda kuwa na afya njema kila siku. Hakuna anayetaka kuumwa, kuwa na majeraha wala kufa. Nini hutokea mpaka tunakuwa na magonjwa na matatizo mengine ambayo hatuyataki? Magonjwa, majeraha, vifo, maumivu, homa, uchovu na kadhalika hutokana na nini?

Kuna watu hukaa mwaka, miaka miwili na kadhalika bila kuumwa wala kuwa na tatizo lolote la kiafya. Lakini kuna watu wengine huumwa mara kwa mara. Yaani hawamalizi miezi miwili au mitatu. Tatizo ni nini? Tofauti iko wapi?
 
Hakuna siri kubwa – Inategemea na unavyoutunza mwili wako na jinsi unavyoishi!

Mazingira yako na jinsi unavyoishi huweza kukuweka mbali na magonjwa? Unakula nini? Unakunywa nini? Unakulaje? Unakunywaje? Hauguswi na wadudu waenezao magonjwa? Unaushughulisha mwili wako kiasi cha kutosha? Umewekeza katika afya yako? Unafanya uchunguzi wa afya yako mara kwa mara?

Afya ni suala pana sana. Na ni matokeo ya mazingira na mtindo wa maisha ya mtu husika. Kama unataka kuwa na afya bora basi ni vyema kuzingatia misingi ya afya bora katika mazingira na mtindo wako wa maisha ya kila siku. Afya bora huandaliwa na hupatikana kwa mipango. Sio bahati. Endapo unahitaji afya bora basi jipange vizuri na utaipata.
 
MISINGI YA AFYA BORA

Afya bora hujengwa katika misingi mikuu minne

MTINDO MZURI WA MAISHA
KUJIKINGA DHIDI YA MAGONJWA YOTE NA AJALI
KUFANYA UCHUNGUZI WA MWILI WOTE MARA KWA MARA
KUFANYA MATIBABU MAZURI NA MAPEMA
Hayo ndiyo mambo yanayojenga afya bora. Afya bora ni matokeo ya kuishi mtindo mzuri wa maisha, kujikinga dhidi ya ajali na magonjwa yote (ya kuambukizwa na yasiyo ya kuambukizwa), kufanya uchunguzi wa mwili wote mara kwa mara (angalau mara moja kwa mwaka), na kuwahi kufanya matibabu mazuri.
 
Ukizingatia hayo mambo yote hapo juu na kuwa makini mara zote basi kwa hakika utakuwa na afya njema. Utakaa miezi na miaka bila kuwa mgonjwa mara kwa mara au kabisa.

Je, ungependa kuwa na afya bora? Zingatia misingi ya afya bora sasa. Kila siku.
 
Back
Top Bottom