Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-09-28-20-48-36.png
 
Tafadhali wasiliana na daktari au mganga wako kabla ya kuanza kuzitumia hizi dawa ili akupe mwongozo na maelezo mengine muhimu kulingana na hali na historia ya ugonjwa wako wa vidonda vya tumbo.

Katika kutibu vidonda vya tumbo, mara nyingi ni lazima kupunguza uzalishaji wa asidi tumboni au mwilini kwa ujumla.

Matibabu ya vidonda vya tumbo hujumuisha lishe na kubadilisha mitindo ya maisha na kutumia dawa maalumu.
 
Back
Top Bottom