myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kila mdeni hudaiwa..
Huna habari[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha yalah nshakuwa x wife tena? Yaan likizo ya kuumwa na talaka nikanifuata. Aisee,lazima arudi tu
Lkn sio vzr, nirudishie mme wangu aisee.Mmh!![emoji15][emoji15]
Yaan nimuache kirahisi hivyo? ThubutuHuna habari[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwacje aende we utapata mwingine lol
[emoji23][emoji23][emoji23]tuyaache hayo bhanaTena sana yaan ulikuwa unanionea huruma hadi nikawa siamini km ni ww. Nashangaa ukanigeuka tena ukabeba na mme jamani.
Karibu tena kipenziNdio nshaanza kurudi rudi rasmi hivyo.
We sema ulinimiss sana tu [emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ujue nilikumis lkn kidogo tu
Khaa!umeanza gubu lol![emoji23][emoji23][emoji23]Yaan ww kesi yako inakusubiri huku nyumbani, njoo utakuta mashtaka yako
Apumzike wapi? Mfikishie hii taarifa. Akija huku lazima nikinukisheKhaa!umeanza gubu lol![emoji23][emoji23][emoji23]
Mwache apumzike bhana
Kuwa na amani,hii device ninayotumia siku hizi inatabia ya kujitype maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti imeji nini?????
Ila Carba nilikuwa nimekumis lkn kwa hicho kilichojitype kwakweli nimebadili mawazo.