Hahahah Carba ntakupasua kichwa ww. Nimerudi na nguvu za hatariKuwa na amani,hii device ninayotumia siku hizi inatabia ya kujitype maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah Carba ntakupasua kichwa ww. Nimerudi na nguvu za hatariKuwa na amani,hii device ninayotumia siku hizi inatabia ya kujitype maneno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhaa ila kweli mwaya halafu nimegundua ww una huruma sana.We sema ulinimiss sana tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikumiss pia[emoji4][emoji4]
Saiz kalala akiamka nitampa ujumbe wako kama nitakumbuka[emoji23][emoji23][emoji23]Lkn sio vzr, nirudishie mme wangu aisee.
Basi mrudishe,mwambie mie nimesharudi.[emoji23][emoji23][emoji23]tuyaache hayo bhana
Sasa wewe ulitaka huyu mzee afe kwa mawazo??nimemlea ujue[emoji23][emoji23]
Muache mzee wa watu,we komaa na jirani yako yule[emoji23][emoji23][emoji23]Yaan nimuache kirahisi hivyo? Thubutu
Hahah kwenda hukooo, kwa taarifa yako huyo kesho lazima arudi nyumbaniSaiz kalala akiamka nitampa ujumbe wako kama nitakumbuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu siku hizi ukitaka kumsalimia au kumuita salamu ianze kwa niaba ya carb
Imejitype tena[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Amelala subiri akiamka nitamwambia[emoji23][emoji23]Apumzike wapi? Mfikishie hii taarifa. Akija huku lazima nikinukishe
Unaona nilijua tu, kumbe jirani kuleta matunda wakati naumwa ndio ikawa nongwa?Muache mzee wa watu,we komaa na jirani yako yule[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Coleeeee natishiwa maisha hukuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah Carba ntakupasua kichwa ww. Nimerudi na nguvu za hatari