Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahaha yalah nshakuwa x wife tena? Yaan likizo ya kuumwa na talaka nikanifuata. Aisee,lazima arudi tuNimemteka nyumbani kwangu,vipi wamtaka[emoji6][emoji6][emoji6]
andjul baby ex waifu wako anakuita huku[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena sana yaan ulikuwa unanionea huruma hadi nikawa siamini km ni ww. Nashangaa ukanigeuka tena ukabeba na mme jamani.We nsamaka wewe,nikuonee huruma wewe hasimu wangu kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumiss kwakweli,rudi upesi bhana[emoji22][emoji22]
Ndio nshaanza kurudi rudi rasmi hivyo.[emoji23][emoji23][emoji23]kama uko fit njoo basi
Nakumiss ujue
Ndio ujue nilikumis lkn kidogo tuHizi salamu zinavyotumwa nyingi,zingekuwa chakula leo ningevimbiwa[emoji23][emoji23]
Yaan ww kesi yako inakusubiri huku nyumbani, njoo utakuta mashtaka yakoHebu nikumbushe... Sina kumbukumbu hata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti imeji nini?????Bibi weee nishakuona khaa!fujo nyingiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha wa yuu mke mwenza[emoji87] [emoji87]
Imejitype[emoji125] [emoji125]
Mmh!![emoji15][emoji15]Nilijua tu kwakweli maana hata andjul mwenyewe alikuwa kimya kweli kipindi chote kile naumwa.