carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]unanisingizia bhanaHahhaa ila kweli mwaya halafu nimegundua ww una huruma sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]unanisingizia bhanaHahhaa ila kweli mwaya halafu nimegundua ww una huruma sana.
Andjul popote ulipo tafadhali kesho rudi tukuyu haraka iwezekanavyo.Amelala subiri akiamka nitamwambia[emoji23][emoji23]
Kasema hiviii usimsumbue muache[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi mrudishe,mwambie mie nimesharudi.
Yule shemeji yangu wala simuogopi, mpole sana wala sina ugomvi nae.[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Coleeeee natishiwa maisha hukuuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenda zako, kwhy ww ndio umekuwa andjul? Unamsemea?Kasema hiviii usimsumbue muache[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe hayo mengine hayakuhusu[emoji23][emoji23][emoji23]Hahah kwenda hukooo, kwa taarifa yako huyo kesho lazima arudi nyumbani
Kwahy siku hz umeolewa na wawili? Cole yuko wapi?
Wewe hv Bob yupo kweli? Tangu nimefika sijamuona baba viv.Kasema hiviii usimsumbue muache[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani yule mzee anamoyo wa chuma?kwamba hana wivu wala haumii eehUnaona nilijua tu, kumbe jirani kuleta matunda wakati naumwa ndio ikawa nongwa?
Yananihusu, na kesho lazima nihojiWewe hayo mengine hayakuhusu[emoji23][emoji23][emoji23]
Usisahau kuanza na salamu kwa niaba ya carb eeh
Hii inaitwa karibu mjengoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwhy unatak kusema ubaya wa jirani ni nn? Kuleta matunda ama?Kwani yule mzee anamoyo wa chuma?kwamba hana wivu wala haumii eeh
Muache apumzike bhana[emoji23][emoji23]
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]saizi yuko daaaaar[emoji23][emoji23][emoji23]anakula upepo wa bahariAndjul popote ulipo tafadhali kesho rudi tukuyu haraka iwezekanavyo.