Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unga wa majani ya mlonge

Mlonge ni mti muhimu sana katika utabibu kama tiba mbadala, majani, maua, mbegu na mizizi yake hutumika sana katika kutibu magonjwa mbalimbali.

Mlonge una kiasi kingi cha vitamin C, Madini ya chuma, protini, Vitamini A na potasiam.
 
Ongeza kijiko kimoja cha chakula kwenye bakuli ya mboga kila unapokula chakula cha mchana na jioni. Unaweza pia kuunywa unga huu wa majani ya mlonge pamoja na juisi, au unaweza kuuchanganya kwenye chakula kama vile wali na hivyo ukajiongezea kinga zako dhidi ya vidonda vya tumbo.
 
Ili kuongeza kasi ya uondoaji au upunguzaji wa asidi iliyozidi mwilini wakati unaendelea kutumia dawa pia nakushauri ufanye mazoezi yafuatayo;

MAZOEZI MAALUMU KWA ANAYESUMBULIWA NA MIGUU KUWAKA MOTO AU ASIDI KUZIDI MWILINI

Unalala chali, nyoosha mikono chini. Kisha nyanyua mguu mmoja juu unyooke, shusha chini mguu na unyanyue wa pili hivyo hivyo juu kisha chini. Endelea hivyo hivyo kwa mara kumi kumi kwa round 5. Zoezi lichukuwe dk 10

Kisha simama, chuchumaa simama, chuchumaa simama, hivyo hivyo mara 15 kwa round 5

Pia unasimama wima, nyoosha mikono yote juu na uishushe mabegani. Hivyo hivyo mikono juu mikono mabegani mara 15 kwa round 5

Mwisho jipigie saluti mwenyewe ukianzia mkono wa kulia mara 15 hamia mkono wa kushoto mara 15 tena kwa round 5

Fanya hivi mara 4 mpaka 5 kwa wiki
 
Back
Top Bottom