Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kwa gharika ya likes?Naliamsha dude
Nimeona watu wanalalama uzi wetu pendwa kabisa ufutweKwa gharika ya likes?
Kama ni maisha huyu mzee kweli kayala. Mademu wakali wa kubadilisha badilisha tangu akiwa kijana mpaka sasa. Kifo nacho kumbe kipo tu kinanyemelea. Apumzike kwa amani !!!
Wameshanyoosheka. Hongera kiongozi !!!tupo kule mkuu tunawanyoosha